Psalms 73:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli wewe wawaweka mahali penye utelezi; wawafanya waanguke na kuangamia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika unawaweka mahali pa utelezi, unawaangusha chini kwa uharibifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika Wewe huwaweka penye utelezi, Huwaangusha mpaka palipoharibika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli wewe wawaweka mahali penye utelezi; wawafanya waanguke na kuangamia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika unawaweka mahali pa utelezi, unawaangusha chini kwa uharibifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika unawaweka mahali pa utelezi, unawaangusha chini kwa uharibifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika Wewe huwaweka penye utelezi, Huwaangusha mpaka palipoharibika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli wewe wawaweka mahali penye utelezi; wawafanya waanguke na kuangamia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli uliwaweka penye utelezi, ukawaangusha, wapondeke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika Wewe huwaweka penye utelezi, Huwaangusha mpaka palipoharibika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli wewe unawaweka pahali penye utelezi; unawafanya waanguke na kuangamia.