Psalms 73:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanaangamizwa ghafla, na kufutiliwa mbali kwa vitisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama jinsi wanavyoangamizwa ghafula, wanatoweshwa kabisa na vitisho!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Namna gani wamekuwa ukiwa mara! Wametokomea na kutoweshwa kwa utisho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanaangamizwa ghafla, na kufutiliwa mbali kwa vitisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama ni jinsi gani wanavyoangamizwa ghafula, wanatoweshwa kabisa na vitisho!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama jinsi wanavyoangamizwa ghafula, wanatoweshwa kabisa na vitisho!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Namna gani wameangamizwa punde! Wakafutiliwa mbali kwa vitisho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanaangamizwa ghafla, na kufutiliwa mbali kwa vitisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumbe mara wameangamia na kutoweka kabisa! Mwisho wao ukawa wa kuustukia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Namna gani wamekuwa ukiwa mara! Wametokomea na kutoweshwa kwa utisho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanaangamizwa kwa rafla, wateketezwe kabisa kwa vitisho.