Psalms 73:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Karibu sana ningejikwaa, kidogo tu ningeteleza;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali mimi, miguu yangu ilikuwa karibu kuteleza; nilikuwa karibu kuanguka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami miguu yangu ilikuwa karibu na kupotoka, Hatua zangu zilikuwa karibu na kuteleza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Karibu sana ningejikwaa, kidogo tu ningeteleza;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali kwangu mimi, miguu yangu ilikuwa karibu kuteleza; nilikuwa karibu mguu wangu kuachia uliposimama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali kwangu mimi, miguu yangu ilikuwa karibu kuteleza; nilikuwa karibu mguu wangu kuachia uliposimama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami miguu yangu ilikuwa karibu kupotoka, Hatua zangu zilikuwa karibu kuteleza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Karibu sana ningejikwaa, kidogo tu ningeteleza;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi ilikuwa imesalia kidogo, miguu yangu ingalijikwaa; hakuna tena iliyosalia, nyayo zangu zingaliteleza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami miguu yangu ilikuwa karibu na kupotoka, Hatua zangu zilikuwa karibu na kuteleza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilikuwa karibu sana kujikwaa, kidogo tu ningeteleza,