Psalms 73:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Bwana, uinukapo, wao hutoweka mara, kama ndoto wakati mtu anapoamka asubuhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama ndoto mtu aamkapo, hivyo wakati uinukapo, Ee Bwana, utawatowesha kama ndoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, kama ndoto wakati wa kuamka, Uondokapo utaidharau sanamu yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Bwana, uinukapo, wao hutoweka mara, kama ndoto wakati mtu anapoamka asubuhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ndoto mtu aamkapo, hivyo wakati uinukapo, Ee BWANA, utawatowesha kama ndoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ndoto mtu aamkapo, hivyo wakati uinukapo, Ee bwana, utawatowesha kama ndoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Bwana, wamekuwa kama ndoto wakati wa kuamka, Uondokapo utaidharau sanamu yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Bwana, uinukapo, wao hutoweka mara, kama ndoto wakati mtu anapoamka asubuhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama ndoto inavyoisha kwa kuamka, ndivyo, unavyozitowesha sura zao ukiwainukia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Bwana, kama ndoto wakati wa kuamka, Uondokapo utaidharau sanamu yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Bwana, unapoinuka, wanatoweka kama ndoto, kama ndoto wakati mutu anapoamuka.