Psalms 73:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilipoona uchungu moyoni na kuchomwa rohoni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moyo wangu ulipohuzunishwa, na roho yangu ilipotiwa uchungu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moyo wangu ulipoona uchungu, Viuno vyangu viliponichoma,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilipoona uchungu moyoni na kuchomwa rohoni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati moyo wangu ulipohuzunishwa, na roho yangu ilipotiwa uchungu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati moyo wangu ulipohuzunishwa, na roho yangu ilipotiwa uchungu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moyo wangu ulipoona uchungu, Viuno vyangu viliponichoma,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilipoona uchungu moyoni na kuchomwa rohoni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo, nilipoona uchungu moyoni mwangu, nayo mafigo yangu yaliponiumiza na kunichoma,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moyo wangu ulipoona uchungu, Viuno vyangu viliponichoma,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilipoona uchungu katika moyo na kuchomwa katika roho,