Psalms 73:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nilikuwa mpumbavu na mjinga, nilikuwa kama mnyama mbele yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nilikuwa mpumbavu na mjinga, nilikuwa mnyama mkatili mbele yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalikuwa kama mjinga, sijui neno; Nalikuwa kama mnyama tu mbele zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nilikuwa mpumbavu na mjinga, nilikuwa kama mnyama mbele yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nilikuwa mpumbavu na mjinga, nilikuwa mnyama mkatili mbele yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nilikuwa mpumbavu na mjinga, nilikuwa mnyama mkatili mbele yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilikuwa kama mjinga, sijui neno; Nilikuwa kama mnyama tu mbele zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nilikuwa mpumbavu na mjinga, nilikuwa kama mnyama mbele yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, mimi nilipokuwa jinga, nisijue kitu, nikawa machoni pako kama nyama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalikuwa kama mjinga, sijui neno; Nalikuwa kama mnyama tu mbele zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nilikuwa mupumbafu na mujinga, nilikuwa kama nyama mbele yako.