Psalms 73:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe waniongoza kwa mashauri yako; mwishowe utanipokea kwenye utukufu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unaniongoza kwa ushauri wako, hatimaye utaniingiza katika utukufu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utaniongoza kwa shauri lako, Na baadaye utanikaribisha kwa utukufu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe waniongoza kwa mashauri yako; mwishowe utanipokea kwenye utukufu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unaniongoza kwa shauri lako, hatimaye utaniingiza katika utukufu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unaniongoza kwa shauri lako, hatimaye utaniingiza katika utukufu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utaniongoza kwa shauri lako, Na baadaye utanikaribisha kwa utukufu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe waniongoza kwa mashauri yako; mwishowe utanipokea kwenye utukufu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ukaniongoza njia kwa shauri, ulilolipiga wewe, mwisho utanikaribisha huko, utukufu uliko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utaniongoza kwa shauri lako, Na baadaye utanikaribisha kwa utukufu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe unaniongoza kwa mashauri yako; na kwa mwisho utanipokea kwenye utukufu.