Psalms 73:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbinguni, nani awezaye kunisaidia ila wewe? Na duniani hamna ninachotamani ila wewe!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nani niliye naye mbinguni ila wewe? Dunia haina chochote ninachokitamani ila wewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani niliye naye mbinguni, Wala duniani sina cha kupendeza ila Wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbinguni, nani awezaye kunisaidia ila wewe? Na duniani hamna ninachotamani ila wewe!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nani niliye naye mbinguni ila wewe? Dunia haina cho chote ninachokitamani ila wewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nani niliye naye mbinguni ila wewe? Dunia haina chochote ninachokitamani ila wewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani niliye naye mbinguni, Wala duniani sina cha kupendeza ila Wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbinguni, nani awezaye kunisaidia ila wewe? Na duniani hamna ninachotamani ila wewe!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko mbinguni yuko mwingine aliye mwenzangu? Sipendezwi tena na ulimwengu huu nikiwa pamoja nawe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani niliye naye mbinguni, Wala duniani sina cha kupendeza ila Wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbinguni, nani anayeweza kunisaidia isipokuwa wewe? Na katika dunia hamuna ninachokitamani isipokuwa wewe!