Psalms 73:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata nikikosa nguvu mwilini na rohoni, wewe, ee Mungu, u mwamba wangu; riziki yangu kuu ni wewe milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwili na moyo wangu vyaweza kushindwa, bali Mungu ni nguvu ya moyo wangu na fungu langu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwili wangu na moyo wangu hupunguka, Bali Mungu ni mwamba wa moyo wangu Na sehemu yangu milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata nikikosa nguvu mwilini na rohoni, wewe, ee Mungu, u mwamba wangu; riziki yangu kuu ni wewe milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwili na moyo wangu vyaweza kushindwa, bali Mungu ni nguvu ya moyo wangu na fungu langu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwili na moyo wangu vyaweza kushindwa, bali Mungu ni nguvu ya moyo wangu na fungu langu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwili wangu na moyo wangu hupunguka, Bali Mungu ni mwamba wa moyo wangu Na sehemu yangu milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata nikikosa nguvu mwilini na rohoni, wewe, ee Mungu, u mwamba wangu; riziki yangu kuu ni wewe milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo, mwili wangu uzimie pamoja na moyo wangu, wewe Mungu u mwamba wa moyo wangu, tena u fungu langu la kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwili wangu na moyo wangu hupunguka, Bali Mungu ni mwamba wa moyo wangu Na sehemu yangu milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata nikikosa nguvu katika mwili na katika roho, wewe, ee Mungu, ni kikingio changu; na hitaji langu lote ni wewe kwa milele.