Psalms 73:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini, kwangu ni vema kuwa karibu na Mungu, wewe Bwana Mwenyezi-Mungu ndiwe usalama wangu. Nitatangaza mambo yote uliyotenda!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kwangu mimi, ni vyema kuwa karibu na Mungu. Nimemfanya Bwana Mungu Mwenyezi kimbilio langu; nami nitayasimulia matendo yako yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami kumkaribia Mungu ni kwema kwangu; Nimefanya kimbilio kwa Bwana MUNGU, Niyahubiri matendo yako yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini, kwangu ni vema kuwa karibu na Mungu, wewe Bwana Mwenyezi-Mungu ndiwe usalama wangu. Nitatangaza mambo yote uliyotenda!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kwangu mimi, ni vyema kuwa karibu na Mungu. Nimemfanya BWANA Mwenyezi kimbilio langu; nami nitayasimulia matendo yako yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kwangu mimi, ni vyema kuwa karibu na Mungu. Nimemfanya bwana Mwenyezi kimbilio langu; nami nitayasimulia matendo yako yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami kumkaribia Mungu ni kwema kwangu; Nimefanya kimbilio kwa Bwana MUNGU, Niyahubiri matendo yako yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini, kwangu ni vema kuwa karibu na Mungu, wewe Bwana Mwenyezi-Mungu ndiwe usalama wangu. Nitatangaza mambo yote uliyotenda!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi naona kuwa vema, nikimkalia Mungu karibu. Bwana Mungu ninamtaka kuwa kimbilio langu, niwasimulie watu matendo yako yote.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami kumkaribia Mungu ni kwema kwangu; Nimefanya kimbilio kwa Bwana MUNGU, Niyahubiri matendo yako yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, kwangu ni vizuri kuwa karibu na Mungu. Wewe Bwana wangu Yawe ndiwe usalama wangu. Nitatangaza mambo yote uliyotenda!