Psalms 73:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana niliwaonea wivu wenye kiburi, nilipoona wakosefu wakifanikiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana niliwaonea wivu wenye kujivuna nilipoona kufanikiwa kwa waovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana naliwaonea wivu wenye kujivuna, Nilipoiona hali ya amani ya wasio haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana niliwaonea wivu wenye kiburi, nilipoona wakosefu wakifanikiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana niliwaonea wivu wenye kujivuna nilipoona kufanikiwa kwa waovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana niliwaonea wivu wenye kujivuna nilipoona kufanikiwa kwa waovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana niliwaonea wivu wenye kujivuna, Nilipoiona hali ya amani ya wasio haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana niliwaonea wivu wenye kiburi, nilipoona wakosefu wakifanikiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wenye majivuno naliwaonea wivu nilipowaona wasiomcha Mungu, wakikaa na kutengemana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana naliwaonea wivu wenye kujivuna, Nilipoiona hali ya amani ya wasio haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
maana niliwaonea wivu wenye kiburi, nilipoona wakosaji wakifanikiwa.