Psalms 73:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana hao hawapatwi na mateso; miili yao ina afya na wana nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao hawana taabu; miili yao ina afya na nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hawana maumivu katika kufa kwao, Na mwili wao una nguvu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana hao hawapatwi na mateso; miili yao ina afya na wana nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao hawana taabu, miili yao ina afya na nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao hawana taabu, miili yao ina afya na nguvu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hawana maumivu katika kufa kwao, Na miili yao ina nguvu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana hao hawapatwi na mateso; miili yao ina afya na wana nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa maana hawaoni maumivu ya kuwaua, tena miili yao hunenepa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hawana maumivu katika kufa kwao, Na mwili wao una nguvu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana hao hawapatwi na mateso; miili yao ina afya, nao wana nguvu.