Psalms 73:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Taabu za binadamu haziwapati hao; hawapati mateso kama watu wengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawapati shida zinazowataabisha watu wengine, wala hawapati mapigo kama wanadamu wengine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika taabu ya watu hawamo, Wala hawapati mapigo pamoja na wanadamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Taabu za binadamu haziwapati hao; hawapati mateso kama watu wengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawapati shida zinazowataabisha watu wengine, wala hawapati mapigo kama wanadamu wengine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawapati shida zinazowataabisha watu wengine, wala hawapati mapigo kama wanadamu wengine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawana taabu kama watu wengine, Wala hawapati mapigo kama wanadamu wenzao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Taabu za binadamu haziwapati hao; hawapati mateso kama watu wengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika masumbuko ya kimtu hao hawamo, wala mateso ya watu wengine hayawapati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika taabu ya watu hawamo, Wala hawapati mapigo pamoja na wanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Taabu za mwanadamu haziwapati hao; hawapati mateso kama watu wengine.