Psalms 73:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kiburi kimekuwa mkufu wao shingoni, uhasama ni kama nguo yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo kiburi ni mkufu wao, wamejivika jeuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo kiburi kimekuwa mkufu shingoni mwao, Jeuri huwavika kama nguo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kiburi kimekuwa mkufu wao shingoni, uhasama ni kama nguo yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo kiburi ni mkufu wao, wamejivika jeuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo kiburi ni mkufu wao, wamejivika jeuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo kiburi kimekuwa mkufu shingoni mwao, Udhalimu huwavika kama nguo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kiburi kimekuwa mkufu wao shingoni, uhasama ni kama nguo yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Urembo wao ndio majivuno, mavazi yao ya kujifunika ndio ukorofi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo kiburi kimekuwa mkufu shingoni mwao, Jeuri huwavika kama nguo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kiburi kimekuwa kama mukufu katika shingo, mateso makali ni kama nguo yao.