Psalms 73:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Macho yao hufura kwa uovu; mioyo yao hububujika mipango mibaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uovu hutoka katika mioyo yao iliyokufa ganzi, majivuno maovu kutoka mioyoni mwao hayana kikomo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Macho yao hutokeza kwa kunenepa, Wameipita kadiri ya mawazo ya mioyo yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Macho yao hufura kwa uovu; mioyo yao hububujika mipango mibaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uovu hutoka katika mioyo yao iliyokufa ganzi, ubaya wa majivuno kutoka mioyoni mwao hauna kikomo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uovu hutoka katika mioyo yao iliyokufa ganzi, majivuno maovu kutoka mioyoni mwao hauna kikomo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Macho yao hutokeza kwa kunenepa, Wameipita kadiri ya mawazo ya mioyo yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Macho yao hufura kwa uovu; mioyo yao hububujika mipango mibaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Macho yao hujitokeza kwa kunona kwao nyuso, mawazo ya mioyo yao hufuliza kujikuza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Macho yao hutokeza kwa kunenepa, Wameipita kadiri ya mawazo ya mioyo yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mazarau yanatokana na unene wao; mioyo yao inatiririka mipango mibaya.