Psalms 73:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huwadhihaki wengine na kusema mabaya; hujivuna na kupanga kufanya uhasama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hudhihaki na kusema kwa ukorofi, katika majivuno yao wanatishia kutesa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hudhihaki, husimulia mabaya, Husimulia udhalimu kana kwamba wako juu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huwadhihaki wengine na kusema mabaya; hujivuna na kupanga kufanya uhasama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hudhihaki na kusema kwa ukorofi, katika majivuno yao wanatishia kutesa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hudhihaki na kusema kwa ukorofi, katika majivuno yao wanatishia kutesa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hudhihaki, husimulia mabaya, Husimulia udhalimu kana kwamba wako juu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huwadhihaki wengine na kusema mabaya; hujivuna na kupanga kufanya uhasama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ukorofi wao mbaya husema na kufyoza, kila wanaposema hujikweza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hudhihaki, husimulia mabaya, Husimulia udhalimu kana kwamba wako juu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanawachekelea wengine na kusema mabaya; wanajivuna na kufanya mipango ya utesaji.