Psalms 73:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa vinywa vyao hutukana mbingu; kwa ndimi zao hujitapa duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vinywa vyao huweka madai hata kwa mbingu, nazo ndimi zao humiliki duniani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wameweka kinywa chao mbinguni, Na ulimi wao hutanga-tanga duniani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa vinywa vyao hutukana mbingu; kwa ndimi zao hujitapa duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vinywa vyao huweka madai hata kwa mbingu, nazo ndimi zao humiliki duniani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vinywa vyao huweka madai hata kwa mbingu, nazo ndimi zao humiliki duniani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wameweka kinywa chao mbinguni, Na ulimi wao hutangatanga duniani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa vinywa vyao hutukana mbingu; kwa ndimi zao hujitapa duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maneno ya vinywa vyao huyawazia kuwa ya kimbinguni, lakini ndimi zao husema ya kiulimwenguni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wameweka kinywa chao mbinguni, Na ulimi wao hutanga-tanga duniani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa vinywa vyao wanatukana mbingu; kwa ndimi zao wanajitapa katika dunia.