Psalms 74:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Utenzi wa Asafu) Kwa nini, ee Mungu, umetutupa kabisa? Mbona hasira yako inawaka dhidi ya kondoo wako!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, mbona umetukataa milele? Mbona hasira yako inatoka moshi juu ya kondoo wa malisho yako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, mbona umetutupa milele? Kwa nini hasira yako inatoka moshi Juu ya kondoo wa malisho yako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nini, ee Mungu, umetutupa kabisa? Mbona hasira yako inawaka dhidi ya kondoo wako!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Utenzi Wa Asafu) Ee Mungu, mbona umetukataa milele? Mbona hasira yako inawaka na kutoka moshi juu ya kondoo wa malisho yako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, mbona umetukataa milele? Mbona hasira yako inatoka moshi juu ya kondoo wa malisho yako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, mbona umetutupa milele? Kwa nini hasira yako inatoka moshi Juu ya kondoo wa malisho yako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nini, ee Mungu, umetutupa kabisa? Mbona hasira yako inawaka dhidi ya kondoo wako!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu gani, Mungu, umetutupa kale na kale, moshi wa moto wa makali yako ukipanda kwao walio kondoo wako wa kuwachunga?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, mbona umetutupa milele? Kwa nini hasira yako inatoka moshi Juu ya kondoo wa malisho yako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mashairi ya Asafu. Kwa nini, ee Mungu, umetutupilia kabisa? Mbona hasira yako inawaka juu ya kondoo wako?