Psalms 74:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpaka lini, ee Mungu, adui atakucheka? Je, watalikufuru jina lako milele?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, mtesi atakudhihaki hadi lini? Je, adui watalitukana jina lako milele?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, mtesi atalaumu hata lini? Adui alidharau jina lako hata milele?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpaka lini, ee Mungu, adui atakucheka? Je, watalikufuru jina lako milele?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, mtesi atakudhihaki mpaka lini? Je, adui watalitukana jina lako milele?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, mtesi atakudhihaki mpaka lini? Je, adui watalitukana jina lako milele?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, mtesi atalaumu hata lini? Adui alidharau jina lako hata milele?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpaka lini, ee Mungu, adui atakucheka? Je, watalikufuru jina lako milele?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu, hao watusongao watutukane mpaka lini? Adui walisimange Jina lako kale na kale?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, mtesi atalaumu hata lini? Adui alidharau jina lako hata milele?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, mpaka wakati gani adui atakuchekelea? Watakufuru jina lako milele?