Psalms 74:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbona umeuficha mkono wako? Kwa nini hunyoshi mkono wako?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini unazuia mkono wako, mkono wako wa kuume? Uutoe kutoka makunjo ya vazi lako na uwaangamize!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona unaurudisha mkono wako, Naam, mkono wako wa kuume, Uutoe kifuani mwako, Ukawaangamize kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbona umeuficha mkono wako? Kwa nini hunyoshi mkono wako?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini unazuia mkono wako, mkono wako wa kuume? Uutoe kutoka katika makunjo ya vazi lako na uwaangamize!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini unazuia mkono wako, mkono wako wa kuume? Uutoe kutoka makunjo ya vazi lako na uwaangamize!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona unaurudisha mkono wako, Naam, mkono wako wa kulia, Uutoe kifuani mwako, Ukawaangamize kabisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbona umeuficha mkono wako? Kwa nini hunyoshi mkono wako?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona mkono wako unaurudisha nyuma? Utoe mkono wako wa kuume kifuani pako, uje, uwamalize!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona unaurudisha mkono wako, Naam, mkono wako wa kuume, Uutoe kifuani mwako, Ukawaangamize kabisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbona umeficha mukono wako wa kuume? Kwa nini haunyooshi mukono na kuwapiga?