Psalms 74:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo wewe Mungu ni mfalme wetu tangu kale; umefanya makuu ya wokovu katika nchi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wewe, Ee Mungu, ni mfalme wangu tangu zamani, unaleta wokovu duniani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Mungu ni mfalme wangu tokea zamani, Afanyaye mambo ya wokovu katikati ya nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo wewe Mungu ni mfalme wetu tangu kale; umefanya makuu ya wokovu katika nchi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wewe, Ee Mungu, ni mfalme wangu tangu zamani, unaleta wokovu duniani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wewe, Ee Mungu, ni mfalme wangu tangu zamani, unaleta wokovu duniani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Mungu ni mfalme wangu tokea zamani, Afanyaye mambo ya wokovu katikati ya nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo wewe Mungu ni mfalme wetu tangu kale; umefanya makuu ya wokovu katika nchi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Mungi ni mfalme wangu tangu zamani za kale, ndiye anayetengeneza wokovu huku nchini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Mungu ni mfalme wangu tokea zamani, Afanyaye mambo ya wokovu katikati ya nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo wewe Mungu ni mufalme wetu tangu zamani; umefanya mambo makubwa ya kuokoa katika inchi.