Psalms 74:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa enzi yako kuu uliigawa bahari; uliviponda vichwa vya majoka ya bahari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni wewe uliyeigawanya bahari kwa uweza wako; ulivunja vichwa vya mnyama mkubwa wa baharini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe umeipasua bahari kwa nguvu zako, Umevivunja vichwa vya nyangumi juu ya maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa enzi yako kuu uliigawa bahari; uliviponda vichwa vya majoka ya bahari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni wewe uliyeigawanya bahari kwa uweza wako; ulivunja vichwa vya wanyama wakubwa wa kutisha katika maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni wewe uliyeigawanya bahari kwa uweza wako; ulivunja vichwa vya wanyama wakubwa wa kutisha katika maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe umeipasua bahari kwa nguvu zako, Umevivunja vichwa vya nyangumi juu ya maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa enzi yako kuu uliigawa bahari; uliviponda vichwa vya majoka ya bahari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe uliitenga bahari kwa nguvu yako, ukavivunja vichwa vyao nyangumi waliomo majini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe umeipasua bahari kwa nguvu zako, Umevivunja vichwa vya nyangumi juu ya maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa uwezo wako mukubwa uligawanya bahari; uliponda vichwa vya nyama mukubwa wa bahari.