Psalms 74:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe uliviponda vichwa vya dude Lewiyathani; ukawapa wanyama wa jangwani mzoga wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni wewe uliyeponda vichwa vya Lewiathani, nawe ukamtoa kama chakula kwa viumbe vya jangwani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe uliviseta vichwa vya lewiathani, Awe chakula cha watu wa jangwani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe uliviponda vichwa vya dude Lewiyathani; ukawapa wanyama wa jangwani mzoga wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni wewe uliyeponda vichwa vya Lewiathani nawe ukamtoa kama chakula cha viumbe vya jangwani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni wewe uliyeponda vichwa vya Lewiathani nawe ukamtoa kama chakula kwa viumbe vya jangwani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe ulivivunja vichwa vya Lewiathani, Awe chakula cha watu wa jangwani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe uliviponda vichwa vya dude Lewiyathani; ukawapa wanyama wa jangwani mzoga wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe huviponda vichwa vyao wale papa wakubwa, ukawapa watu wakaao barani, wawalie chakula.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe uliviseta vichwa vya lewiathani, Awe chakula cha watu wa jangwani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe uliponda vichwa vya nyama mukubwa Leviatani; ukawapa wanyama wa jangwa muzoga wake.