Psalms 74:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe umefanya chemchemi na vijito; na kuikausha mito mikubwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni wewe uliyefungua chemchemi na vijito, ulikausha mito iliyokuwa ikitiririka daima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe ulitokeza chemchemi na kijito; Wewe ulikausha mito yenye maji sikuzote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe umefanya chemchemi na vijito; na kuikausha mito mikubwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni wewe uliyefungua chemchemi na vijito, ulikausha mito ambayo ilikuwa ikitiririka daima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni wewe uliyefungua chemchemi na vijito, ulikausha mito ambayo ilikuwa ikitiririka daima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe ulitokeza chemchemi na kijito; Wewe ulikausha mito yenye maji siku zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe umefanya chemchemi na vijito; na kuikausha mito mikubwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe hutoa mchangani visima, hata vijito, nayo majito yaliyokuwa yenye maji siku zote huyapwelesha wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe ulitokeza chemchemi na kijito; Wewe ulikausha mito yenye maji sikuzote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe umefanya chemichemi na vijito; na kukausha mito mikubwa.