Psalms 74:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mchana ni wako na usiku ni wako; umeweka mwezi na jua mahali pao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mchana ni wako, na usiku ni wako pia; uliziweka jua na mwezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mchana ni wako, usiku nao ni wako, Ndiwe uliyeufanya mwanga na jua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mchana ni wako na usiku ni wako; umeweka mwezi na jua mahali pao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mchana ni wako, nao usiku ni wako pia, uliweka jua na mwezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mchana ni wako, nao usiku ni wako pia, uliziweka jua na mwezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mchana ni wako, usiku nao ni wako, Ndiwe uliyeufanya mwanga na jua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mchana ni wako na usiku ni wako; umeweka mwezi na jua mahali pao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wako ni mchana, usiku nao ni wako; wewe ndiwe uliyeweka mbalamwezi nalo jua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mchana ni wako, usiku nao ni wako, Ndiwe uliyeufanya mwanga na jua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muchana ni wako na usiku ni wako; umeweka mwezi na jua kwenye nafasi zao.