Psalms 74:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe umeweka mipaka yote ya dunia; umepanga majira ya kiangazi na ya baridi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni wewe uliyeiweka mipaka yote ya dunia, ulifanya kiangazi na masika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe uliiweka mipaka yote ya dunia, Kaskazi na kusi Wewe ulizitengeneza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe umeweka mipaka yote ya dunia; umepanga majira ya kiangazi na ya baridi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni wewe uliyeiweka mipaka yote ya dunia, ulifanya kiangazi na masika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni wewe uliyeiweka mipaka yote ya dunia, ulifanya kiangazi na masika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe uliiweka mipaka yote ya dunia, Majira ya joto na ya baridi wewe uliyafanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe umeweka mipaka yote ya dunia; umepanga majira ya kiangazi na ya baridi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mipaka yote ya nchi wewe uliikata, ukaziumba siku za kiangazi nazo za kipupwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe uliiweka mipaka yote ya dunia, Kaskazi na kusi Wewe ulizitengeneza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe umeweka mipaka yote ya dunia; umepanga wakati wa kipwa na wakati wa mvua.