Psalms 74:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumbuka, ee Mwenyezi-Mungu, madharau ya maadui zako; taifa pumbavu linalikashifu jina lako. Sisi ni dhaifu kama njiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, kumbuka jinsi mtesi alivyokudhihaki, jinsi watu wapumbavu walivyolitukana jina lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, uyakumbuke hayo, adui amelaumu, Na watu wapumbavu wamelidharau jina lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumbuka, ee Mwenyezi-Mungu, madharau ya maadui zako; taifa pumbavu linalikashifu jina lako. Sisi ni dhaifu kama njiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, kumbuka jinsi mtesi alivyokudhihaki, jinsi watu wapumbavu walivyolitukana jina lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, kumbuka jinsi mtesi alivyokudhihaki, jinsi watu wapumbavu walivyolitukana jina lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, uyakumbuke hayo, adui amelaumu, Na watu wapumbavu wamelidharau jina lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumbuka, ee Mwenyezi-Mungu, madharau ya maadui zako; taifa pumbavu linalikashifu jina lako. Sisi ni dhaifu kama njiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, wakumbuke adui, ya kuwa hukutweza, nao watu wajinga hulibeza Jina lako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, uyakumbuke hayo, adui amelaumu, Na watu wapumbavu wamelidharau jina lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kumbuka, ee Yawe, mazarau ya waadui zako; taifa pumbafu linatukana jina lako.