Psalms 74:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiwatupie wanyama wakali uhai wa wapenzi wako; usiyasahau maisha ya maskini wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiukabidhi uhai wa njiwa wako kwa wanyama mwitu; usisahau kabisa uhai wa watu wako wanaoteseka milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usimpe mnyama mkali nafsi ya hua wako; Usiusahau milele uhai wa watu wako walioonewa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiwatupie wanyama wakali uhai wa wapenzi wako; usiyasahau maisha ya maskini wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiukabidhi uhai wa njiwa wako kwa wanyama wakali wa mwitu; usisahau kabisa uhai wa watu wako wanaoteseka milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiukabidhi uhai wa njiwa wako kwa wanyama wakali wa mwitu; usisahau kabisa uhai wa watu wako wanaoteseka milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usimpe mnyama mkali uhai wa njiwa wako; Usiwasahau milele watu wako walioonewa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiwatupie wanyama wakali uhai wa wapenzi wako; usiyasahau maisha ya maskini wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho ya hua wako usiitoe, nyama wa porini akaipata, wala usiwasahau kale na kale wanyonge wako, wawepo wenye uzima!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usimpe mnyama mkali nafsi ya hua wako; Usiusahau milele uhai wa watu wako walioonewa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usitutupie, sisi njiwa wako, kwa wanyama wakali, usisahau kwa siku zote maisha ya wamasikini wako.