Psalms 74:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumbuka jumuiya yako uliyojipatia tangu kale, kabila ulilolikomboa liwe mali yako, kumbuka mlima Siyoni mahali unapokaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kumbuka watu uliowanunua zamani, kabila la urithi wako, ambao uliwakomboa: Mlima Sayuni, ambamo uliishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulikumbuke kusanyiko lako, Ulilolinunua zamani. Ulilolikomboa liwe kabila ya urithi wako, Mlima Sayuni ulioufanya maskani yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumbuka jumuiya yako uliyojipatia tangu kale, kabila ulilolikomboa liwe mali yako, kumbuka mlima Siyoni mahali unapokaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kumbuka watu uliowanunua zamani, kabila la urithi wako, ambao uliwakomboa: Mlima Sayuni, ambamo uliishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kumbuka watu uliowanunua zamani, kabila la urithi wako, ambao uliwakomboa: Mlima Sayuni, ambamo uliishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulikumbuke kusanyiko lako, Ulilolinunua zamani. Ulilolikomboa liwe kabila la urithi wako, Mlima Sayuni ulioufanya maskani yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumbuka jumuiya yako uliyojipatia tangu kale, kabila ulilolikomboa liwe mali yako, kumbuka mlima Siyoni mahali unapokaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Likumbuke kundi lako, ulilojipatia kale ulipolikomboa, liwe ukoo wako na fungu lako! Ukumbuke mlima wa Sioni, kao lako liliko!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulikumbuke kusanyiko lako, Ulilolinunua zamani. Ulilolikomboa liwe kabila ya urithi wako, Mlima Sayuni ulioufanya maskani yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kumbuka taifa lako ulilojipatia tangia zamani, kabila ulilokomboa likuwe mali yako. Kumbuka mulima Sayuni pahali unapokaa.