Psalms 74:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ulikumbuke agano ulilofanya nasi! Nchi imejaa uharamia kila mahali pa giza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Likumbuke agano lako, maana mara kwa mara mambo ya jeuri yamejaa katika sehemu za giza nchini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulitafakari agano; Maana mahali penye giza katika nchi Pamejaa makao ya ukatili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ulikumbuke agano ulilofanya nasi! Nchi imejaa uharamia kila mahali pa giza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Likumbuke agano lako, maana mara kwa mara mambo ya jeuri yamejaa katika sehemu za giza katika nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Likumbuke agano lako, maana mara kwa mara mambo ya jeuri yamejaa katika sehemu za giza nchini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulitafakari agano lako; Maana mahali kwenye giza katika nchi Kumejaa makao ya ukatili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ulikumbuke agano ulilofanya nasi! Nchi imejaa uharamia kila mahali pa giza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lile Agano liko, na ulitazame! Kwani maficho yote ya nchi yamegeuka kuwa makao ya ukorofi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulitafakari agano; Maana mahali penye giza katika nchi Pamejaa makao ya ukatili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukumbuke agano ulilofanya nasi! Inchi imejaa mateso makali kila nafasi za giza.