Psalms 74:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiwaache wanaokandamizwa waaibishwe, uwajalie maskini na wahitaji walisifu jina lako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiruhusu waliodhulumiwa warudi nyuma kwa aibu; maskini na wahitaji hebu walisifu jina lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aliyeonewa asirejee ametiwa haya, Mnyonge na mhitaji na walisifu jina lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiwaache wanaokandamizwa waaibishwe, uwajalie maskini na wahitaji walisifu jina lako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiruhusu walioonewa warudi nyuma kwa aibu; maskini na wahitaji na walisifu jina lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiruhusu walioonewa warudi nyuma kwa aibu; maskini na wahitaji hebu walisifu jina lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliyeonewa asirejee ametiwa haya, Mnyonge na mhitaji na walisifu jina lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiwaache wanaokandamizwa waaibishwe, uwajalie maskini na wahitaji walisifu jina lako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akorofikaye usimwache, ajiendee kwa kuona soni! Wanyonge na wakiwa ndio watakaolitukuza Jina lako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aliyeonewa asirejee ametiwa haya, Mnyonge na mhitaji na walisifu jina lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiwaache wanaogandamizwa wafezeheshwe, uwajalie wamasikini na wakosefu wasifu jina lako.