Psalms 74:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Inuka, ee Mungu, ukajitetee; ukumbuke wanavyokudharau kila siku watu wasiokujua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Inuka, Ee Mungu, ujitetee; kumbuka jinsi wapumbavu wanavyokudhihaki mchana kutwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, usimame, ujitetee mwenyewe, Ukumbuke unavyotukanwa na mpumbavu mchana kutwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Inuka, ee Mungu, ukajitetee; ukumbuke wanavyokudharau kila siku watu wasiokujua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Inuka, Ee Mungu, ujitetee; kumbuka jinsi wapumbavu wanavyokudhihaki mchana kutwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Inuka, Ee Mungu, ujitetee; kumbuka jinsi wapumbavu wanavyokudhihaki mchana kutwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, usimame, ujitetee mwenyewe, Ukumbuke unavyotukanwa na mpumbavu mchana kutwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Inuka, ee Mungu, ukajitetee; ukumbuke wanavyokudharau kila siku watu wasiokujua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inuka, Mungu, ujigombee kondo, kwani ni yako! Kumbuka, jinsi unavyotwezwa na wajinga siku zote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, usimame, ujitetee mwenyewe, Ukumbuke unavyotukanwa na mpumbavu mchana kutwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, simama sasa ujitetee! Ukumbuke mazarau ya kila siku ya wasiokujua.