Psalms 74:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usisahau makelele za maadui zako; na ghasia za daima za wapinzani wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usipuuze makelele ya watesi wako, ghasia za adui zako, zinazoinuka mfululizo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiisahau sauti ya watesi wako, Ghasia yao wanaokuondokea inapaa daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usisahau makelele za maadui zako; na ghasia za daima za wapinzani wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usipuuze makelele ya watesi wako, ghasia za adui zako, zinazoinuka mfululizo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usipuuze makelele ya watesi wako, ghasia za adui zako, zinazoinuka mfululizo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiisahau sauti ya watesi wako, Ghasia yao wanaokupinga inapaa daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usisahau makelele za maadui zako; na ghasia za daima za wapinzani wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiyasahau makelele yao wabishi wako! Mafujo yao wakuinukiao yanaongezeka siku kwa siku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiisahau sauti ya watesi wako, Ghasia yao wanaokuondokea inapaa daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usisahau makelele ya waadui zako; na fujo ya siku zote ya wapinzani wako.