Psalms 74:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pita juu ya magofu haya ya kudumu! Adui wameharibu kila kitu hekaluni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Geuza hatua zako kuelekea magofu haya ya kudumu, uharibifu wote huu ambao adui ameuleta pale patakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Upainulie miguu yako palipoharibika milele; Adui ameufanya kila ubaya katika patakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pita juu ya magofu haya ya kudumu! Adui wameharibu kila kitu hekaluni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Geuza hatua zako kuelekea magofu haya ya kudumu, uharibifu wote huu ambao adui ameuleta katika mahali patakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Geuza hatua zako kuelekea magofu haya ya kudumu, uharibifu wote huu ambao adui ameuleta pale patakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Upite na kupaona palipoharibika milele; Adui ameufanya kila ubaya katika patakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pita juu ya magofu haya ya kudumu! Adui wameharibu kila kitu hekaluni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inuka, uielekeze miguu yako kuja huku kulikobomolewa kale, maana adui wamefanya, patakatifu pawe pabaya pote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Upainulie miguu yako palipoharibika milele; Adui ameufanya kila ubaya katika patakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Pita juu ya mabomoko haya ya tangu zamani! Waadui wameharibu kila kitu katika hekalu.