Psalms 74:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maadui zako wamenguruma ushindi hekaluni mwako! Wameweka humo bendera zao za ushindi!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adui zako wamenguruma pale ulipokutana nasi, wanaweka bendera zao kama alama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watesi wako wamenguruma kati ya kusanyiko lako; Wameweka bendera zao ziwe alama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maadui zako wamenguruma ushindi hekaluni mwako! Wameweka humo bendera zao za ushindi!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adui zako wamenguruma pale ulipokutana nasi, wanaweka bendera zao kama alama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adui zako wamenguruma pale ulipokutana nasi, wanaweka bendera zao kama alama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watesi wako wamenguruma kati ya kusanyiko lako; Wameweka bendera zao ziwe alama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maadui zako wamenguruma ushindi hekaluni mwako! Wameweka humo bendera zao za ushindi!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wabishi wako hupiga makelele pako pa kukusanyikia, wakazitweka bendera zao, zionyeshe nguvu zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watesi wako wamenguruma kati ya kusanyiko lako; Wameweka bendera zao ziwe alama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waadui zako wamepiga kelele la ushindi katika hekalu lako! Wamesimika humo bendera zao za ushindi!