Psalms 74:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanafanana na mtema kuni, anayekata miti kwa shoka lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walifanya kama watu wanaotumia mashoka kukata kichaka cha miti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanaonekana kama watu wainuao mashoka, Waikate miti ya msituni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanafanana na mtema kuni, anayekata miti kwa shoka lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walifanya kama watu wanaotumia mashoka kukata kichaka chote cha miti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walifanya kama watu wanaotumia mashoka kukata kichaka cha miti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanaonekana kama watu wainuao mashoka, Waikate miti ya msituni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanafanana na mtema kuni, anayekata miti kwa shoka lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tukiwatazama, wamefanana na watu wainuao mashoka juu, wakate miti iliyoko mwituni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanaonekana kama watu wainuao mashoka, Waikate miti ya msituni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanafanana na mukataji wa kuni, anayekata miti kwa shoka lake.