Psalms 74:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliivunjavunja milango ya hekalu, kwa mashoka na nyundo zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walivunjavunja milango yote iliyonakshiwa kwa mashoka na vishoka vyao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sasa nakishi yake yote pia Wanaivunja-vunja kwa mashoka na nyundo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliivunjavunja milango ya hekalu, kwa mashoka na nyundo zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walivunjavunja milango yote iliyonakishiwa kwa mashoka na vishoka vyao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walivunjavunja milango yote iliyonakshiwa kwa mashoka na vishoka vyao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sasa nakishi yake yote pia Wanaivunjavunja kwa mashoka na nyundo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliivunjavunja milango ya hekalu, kwa mashoka na nyundo zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa mapambo yake yaliyochorwa, yote pia wanayakatakata kwa mashoka na kwa nyundo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sasa nakishi yake yote pia Wanaivunja-vunja kwa mashoka na nyundo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walivunjavunja michoro ya hekalu, kwa mashoka na nyundo zao.