Psalms 74:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walichoma moto patakatifu pako; walikufuru mahali pale unapoheshimiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliteketeza kabisa mahali pako patakatifu, wakayanajisi makao ya Jina lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wamepatia moto patakatifu pako; Wamelinajisi kao la jina lako hata chini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walichoma moto patakatifu pako; walikufuru mahali pale unapoheshimiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliteketeza kabisa mahali patakatifu, wakayanajisi makao ya Jina lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliteketeza kabisa mahali pako patakatifu, wakayanajisi makao ya Jina lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamepatia moto patakatifu pako; Wamelinajisi kao la jina lako hata chini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walichoma moto patakatifu pako; walikufuru mahali pale unapoheshimiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Numba yako takatifu wameichoma moto, wakalichafua Kao la Jina lako mpaka chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamepatia moto patakatifu pako; Wamelinajisi kao la jina lako hata chini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliunguza pahali patakatifu pako; walikufuru pahali pale unapoheshimiwa.