Psalms 74:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipania kutuangamiza sote pamoja; walichoma kila mahali tulipokutania kukuabudu nchini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walisema mioyoni mwao, “Tutawaponda kabisa!” Walichoma kila mahali Mungu alipoabudiwa katika nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walisema mioyoni mwao, Na tuwaangamize kabisa; Mahali penye mikutano ya Mungu Wamepachoma moto katika nchi pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipania kutuangamiza sote pamoja; walichoma kila mahali tulipokutania kukuabudu nchini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walisema mioyoni mwao, “Tutawaponda kabisa!” Walichoma kila mahali ambapo Mungu aliabudiwa katika nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walisema mioyoni mwao, “Tutawaponda kabisa!” Walichoma kila mahali ambapo Mungu aliabudiwa katika nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walisema mioyoni mwao, Na tuwaangamize kabisa; Mahali penye mikutano ya Mungu Wamepachoma moto katika nchi pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipania kutuangamiza sote pamoja; walichoma kila mahali tulipokutania kukuabudu nchini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walisema mioyoni mwao kwamba: Na tuwamalize wote pamoja! Nyumba za Mungu zilizoko katika nchi hii wakaziteketeza zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walisema mioyoni mwao, Na tuwaangamize kabisa; Mahali penye mikutano ya Mungu Wamepachoma moto katika nchi pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walikusudia kutuangamiza wote pamoja; walichoma pahali pote katika inchi ambapo tulikutana kwa kukuabudu.