Psalms 74:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatuzioni tena ishara zetu takatifu, hatuna tena nabii yeyote! Hata hatujui yatakuwa hivi hadi lini!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hatukupewa ishara za miujiza; hakuna manabii waliobaki, hakuna yeyote kati yetu ajuaye hali hii itachukua muda gani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hatuzioni ishara zetu, wala sasa hakuna nabii, Wala kwetu hakuna ajuaye, hata lini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatuzioni tena ishara zetu takatifu, hatuna tena nabii yeyote! Hata hatujui yatakuwa hivi hadi lini!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hatukupewa ishara za miujiza; hakuna manabii waliobaki, hakuna ye yote kati yetu ajuaye kwamba hali hii itachukua muda gani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hatukupewa ishara za miujiza; hakuna manabii waliobaki, hakuna yeyote kati yetu ajuaye hali hii itachukua muda gani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hatuzioni ishara zetu, wala sasa hakuna nabii, Wala kwetu hakuna ajuaye, hadi lini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatuzioni tena ishara zetu takatifu, hatuna tena nabii yeyote! Hata hatujui yatakuwa hivi hadi lini!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vielekezo vyetu hatuvioni tena, wala hakuna mfumbuaji, Kweli hakuna kwetu ajuaye, kama vitakoma lini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hatuzioni ishara zetu, wala sasa hakuna nabii, Wala kwetu hakuna ajuaye, hata lini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hatuoni tena vitambulisho vya kuwa kwako kati yetu, hatuna tena nabii yeyote, wala hakuna anayejua mwisho wa haya yote!