Psalms 75:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atavunja nguvu zote za watu waovu; lakini nguvu za waadilifu ataziimarisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitazikatilia mbali pembe za waovu wote, bali pembe za wenye haki zitainuliwa juu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pembe zote za wasio haki nitazikata, Na pembe za mwenye haki zitainuka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atavunja nguvu zote za watu waovu; lakini nguvu za waadilifu ataziimarisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitazikatilia mbali pembe za waovu wote, bali pembe za wenye haki zitainuliwa juu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitazikatilia mbali pembe za waovu wote, bali pembe za wenye haki zitainuliwa juu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nguvu zote za wasio haki nitazimaliza, Lakini nguvu za mwenye haki nitaziimarisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atavunja nguvu zote za watu waovu; lakini nguvu za waadilifu ataziimarisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi nitamtangaza kale na kale, Mungu wake Yakobo nitamwimbia sifa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pembe zote za wasio haki nitazikata, Na pembe za mwenye haki zitainuka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mimi nitafurahi milele, nitamwimbia Mungu wa Yakobo sifa.