Psalms 75:11 — Compare Translations

2 translations compared side by side

Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo mabaragumu yao wasiomcha Mungu nitayavunja yote, lakini mabaragumu yao wamchao yataelekezwa juu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atavunja mapembe yote ya watu waovu; lakini ataotesha mapembe ya watu wa haki.