Psalms 75:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu asema: “Mimi nimeweka wakati maalumu! Wakati huo nitahukumu kwa haki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unasema, “Ninachagua wakati maalum; ni mimi nihukumuye kwa haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitakapoufikia wakati ulioamriwa, Mimi nitahukumu hukumu za haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu asema: “Mimi nimeweka wakati maalumu! Wakati huo nitahukumu kwa haki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unasema, “Ninachagua wakati maalum; ni mimi nihukumuye kwa haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unasema, “Ninachagua wakati maalum; ni mimi nihukumuye kwa haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitakapoufikia wakati ulioamriwa, Mimi nitahukumu hukumu za haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu asema: “Mimi nimeweka wakati maalumu! Wakati huo nitahukumu kwa haki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa kuwa Jina lako liko karibu, vioja vyako ndivyo vinavyolitangaza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitakapoufikia wakati ulioamriwa, Mimi nitahukumu hukumu za haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tunakushukuru, ee Mungu, tunakushukuru! Tunatangaza ukubwa wa jina lako na kueleza matendo yako makubwa.