Psalms 75:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawaambia wenye kiburi: ‘Acheni kujigamba’; na waovu: ‘Msioteshe pembe za kiburi!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa wale wenye majivuno ninasema, ‘Msijisifu tena,’ kwa wale waovu, ‘Msiinue pembe zenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naliwaambia waliojivuna, Msijivune; Na wasio haki, Msiiinue pembe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawaambia wenye kiburi: ‘Acheni kujigamba’; na waovu: ‘Msioteshe pembe za kiburi!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa wale wenye majivuno ninasema, ‘Msijisifu tena’, kwa wale waovu, ‘Msiinue pembe zenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa wale wenye majivuno ninasema, ‘Msijisifu tena,’ kwa wale waovu, ‘Msiinue pembe zenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Niliwaambia waliojivuna, Msijivune; Na wasio haki, Msiiinue pembe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawaambia wenye kiburi: ‘Acheni kujigamba’; na waovu: ‘Msioteshe pembe za kiburi!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo, nchi zitetemeke pamoja nao wazikaliao, mimi ndimi ninayezishikiza nguzo zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naliwaambia waliojivuna, Msijivune; Na wasio haki, Msiiinue pembe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi ikitetemeka na vyote vinavyokuwa ndani yake, mimi ndiye ninayeimarisha misingi yake.