Psalms 75:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msijione kuwa watu wa maana sana, wala kusema maneno ya majivuno.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msiinue pembe zenu dhidi ya mbingu; msiseme kwa kiburi.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msiiinue pembe yenu juu, Wala msinene kwa shingo ya kiburi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msijione kuwa watu wa maana sana, wala kusema maneno ya majivuno.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msiinue pembe zenu dhidi ya mbingu; msiseme kwa shingo zilizonyooshwa.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msiinue pembe zenu dhidi ya mbingu; msiseme kwa shingo zilizonyooshwa.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msiiinue pembe yenu juu, Wala msinene kwa shingo ya kiburi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msijione kuwa watu wa maana sana, wala kusema maneno ya majivuno.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Niliwaambia wenye majivuno: Msijivune! Msielekeze mabaragumu juu, ninyi msionicha!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msiiinue pembe yenu juu, Wala msinene kwa shingo ya kiburi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninawaambia wenye kiburi: ‘Mwache kiburi’, na waovu: ‘Musiote mapembe!