Psalms 75:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hukumu haitoki mashariki au magharibi; wala haitoki nyikani au mlimani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna yeyote atokaye mashariki wala magharibi au kutoka jangwani awezaye kumkweza mwanadamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana siko mashariki wala magharibi, Wala nyikani itokako heshima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hukumu haitoki mashariki au magharibi; wala haitoki nyikani au mlimani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna ye yote atokaye mashariki wala magharibi au kutoka jangwani awezaye kumkweza mwanadamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna yeyote atokaye mashariki wala magharibi au kutoka jangwani awezaye kumkweza mwanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana siko mashariki wala magharibi, Wala nyikani itokako heshima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hukumu haitoki mashariki au magharibi; wala haitoki nyikani au mlimani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mabaragumu yenu msiyaelekeze juu kabisa, wala msinyoshe shingo mtakaposema!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana siko mashariki wala magharibi, Wala nyikani itokako heshima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musijione kuwa watu wa maana sana, wala kusema maneno ya majivuno.’ ”