Psalms 75:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu mwenyewe ndiye hakimu; humshusha mmoja na kumkweza mwingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali Mungu ndiye ahukumuye: Humshusha huyu na kumkweza mwingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali Mungu ndiye ahukumuye; Humdhili huyu na kumwinua huyu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu mwenyewe ndiye hakimu; humshusha mmoja na kumkweza mwingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali Mungu ndiye ahukumuye: Humshusha huyu na kumkweza mwingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali Mungu ndiye ahukumuye: Humshusha huyu na kumkweza mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali Mungu ndiye ahukumuye; Humdhili huyu na kumwinua huyu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu mwenyewe ndiye hakimu; humshusha mmoja na kumkweza mwingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani maawioni siko, wala machweoni siko, wala nyikani siko, ukuu utokako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali Mungu ndiye ahukumuye; Humdhili huyu na kumwinua huyu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukubwa hautoki mashariki au magaribi, wala hautoki katika jangwa au kwa milima.