Psalms 75:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi nitafurahi milele, nitamwimbia sifa Mungu wa Yakobo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali mimi, nitatangaza hili milele; nitaimba sifa kwa Mungu wa Yakobo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali mimi nitatangaza matendo yako milele, Nitamwimbia Mungu wa Yakobo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi nitafurahi milele, nitamwimbia sifa Mungu wa Yakobo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali mimi, nitatangaza hili milele; nitaimba sifa kwa Mungu wa Yakobo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali mimi, nitatangaza hili milele; nitaimba sifa kwa Mungu wa Yakobo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali mimi nitatangaza matendo yako milele, Nitamwimbia Mungu wa Yakobo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi nitafurahi milele, nitamwimbia sifa Mungu wa Yakobo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mkononi mwake Bwana kimo kikombe kilichojaa mvinyo zichemkazo kwa viungo vikali, wote pia wasiomcha Mungu katika nchi huwagawia, wanywe, mpaka wafyonze mashimbi nayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali mimi nitatangaza matendo yako milele, Nitamwimbia Mungu wa Yakobo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anashika kikombe katika mukono, kimejaa divai kali ya hasira yake. Anaimimia, nao waovu wote wanaikunywa; wanaikunywa mpaka tone la mwisho.