Psalms 76:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji: Na ala za nyuzi za muziki. Zaburi ya Asafu. Wimbo) Mungu anajulikana katika Yuda; jina lake ni kuu katika Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika Yuda, Mungu anajulikana, jina lake ni kuu katika Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika Yuda Mungu amejulikana, Katika Israeli jina lake ni kuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu anajulikana katika Yuda; jina lake ni kuu katika Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Kwa Ala Za Nyuzi Za Muziki. Zaburi Ya Asafu. Wimbo) Katika Yuda Mungu anajulikana, jina lake ni kuu katika Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika Yuda, Mungu anajulikana, jina lake ni kuu katika Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika Yuda Mungu amejulikana, Katika Israeli jina lake ni kuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu anajulikana katika Yuda; jina lake ni kuu katika Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa mwimbishaji, wa kuimbia mazeze. Wimbo wa Asafu wa kushukuru. Mungu hujulikana kwao Wayuda, Jina lake ni kubwa kwao Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika Yuda Mungu amejulikana, Katika Israeli jina lake ni kuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji: kwa vyombo vyenye nyuzi. Zaburi ya Asafu. Wimbo.