Psalms 76:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ghadhabu ya watu husababisha tu sifa kwako; na waliookoka vitani watafanya sikukuu zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika ghadhabu yako dhidi ya wanadamu inakuletea sifa, na masalia ya ghadhabu yako unajifunga mshipi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hasira ya binadamu itakusifu, Masalio ya hasira utajifunga kama mshipi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ghadhabu ya watu husababisha tu sifa kwako; na waliookoka vitani watafanya sikukuu zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika ghadhabu yako dhidi ya wanadamu inakuletea sifa, na masalia ya ghadhabu yako utajifunga mshipi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika ghadhabu yako dhidi ya wanadamu inakuletea sifa, na masalia ya ghadhabu yako unajifunga mshipi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hasira ya binadamu itakusifu, Masalio ya hasira utajifunga kama mshipi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ghadhabu ya watu husababisha tu sifa kwako; na waliookoka vitani watafanya sikukuu zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani makali ya watu nayo hukutukuza, mwisho utauzima nao moto wa makali yao utakapojifunga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hasira ya binadamu itakusifu, Masalio ya hasira utajifunga kama mshipi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakati ulipoinuka kutimiza hukumu, kuwaokoa wote wanaoteswa katika dunia.